Search This Blog

Sunday, April 1, 2012

Millen Magese during MMG Model search (www.missiepopular.blogspot.com)

                                                   Hii ilikuwa ni siku ya jumapili ambapo watu wengi walijitokeza katika  kujaribu bahati yao ya uanamitindo pale SERENA HOTEL ambapo Millen Magese alikuwa akitafuta damu changa kwa ajili ya kuelekea south africa kwenye maonyesho ya mavazi... ila waliotakiwa walikuwa wawili ila hata yeye alishangazwa na muitikio wa watu kuwa mkubwa sana hadi kufikia takribani watu mia sita..... NAAMINI MUNGU ALIMUONGOZA KUPATA VIJANA WALIO BORA NA SAHIHI KATIKA KUTUWAKILISHA... GOD BLESS YOU HAPPINESS MAGESE                                                     

1 comment:

Unknown said...

PLEASE YOU CAN COMMENT ANYTHING BT PLEASE USIJE CHAFUA HALI YA HEWA