Search This Blog

Monday, April 23, 2012

R.I.P MY ROLE MODEL

Ilikuwa kama naota niliposhtuka arfajili na kukuta kwenye simu yangu text yenye taarifa za kifo cha The Great kwamba amefariki dunia. usingizi uliacha kabisa na kuanza kufukilia ni jinsi gani ambavyo nitakuwa maana ndiye aliyekuwa mtu pekee niliyekuwa nikimuangalia katika tasnia hii ya maigizo... Tulikupenda ila Mungu amekupenda zaidi kaka.... REST IN PEACE BROTHER STEVEN CHARLES KANUMBA......  

No comments: