Hii ni blog ambayo itakuonesha watu mbalimbali na wapya ambao ni watafutaji katika nyanja mbalimbali kwa hapa tanzania mfano burudani,siasa,michezo,sanaa,mitindo,ujasiliamali,ubunifu n.k
Search This Blog
Tuesday, April 24, 2012
Monday, April 23, 2012
LULU MAHAKAMANI LEO
Elizabeth Michael 'Lulu' akiwa chini ya ulinzi mkali.
Lulu akiwa kawekwa mtu kati.…
...Akitolewa mahakamani. Baba mzazi wa Lulu nae alikuwepo mahakamani hapo
...Akitolewa mahakamani. Baba mzazi wa Lulu nae alikuwepo mahakamani hapo
Baba mzazi wa Lulu nae alikuwepo mahakamani hapo.
Mwigizaji
Maarufu wa filamu za Kibongo Elizabeth Michael ‘Lulu’ leo majira ya saa
nne asubuhi amepandishwa kizimbani kwa mara ya pili katika Mahakama ya
Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam na kusomewa shitaka la kumuua
Steven Kanumba. Baada ya kusomewa shitaka hilo na Mwendesha Mashitaka
Mkuu wa Mahakama hiyo Elizabeth Kaganda mbele ya Hakimu Rita Tarimo
hakutakiwa kujibu lolote. Mwendesha Mashitaka huyo alisema upelelezi wa
kesi hiyo bado haujakamailika hivyo kesi hiyo iliahirishwa mpaka Mei 7
mwaka huu.
PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS/GPL
R.I.P MY ROLE MODEL
Wednesday, April 4, 2012
Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru
MH..... KAMA SIJAELEWA HIZI NI HOJA AU MATUSI? NISAIDIENI WAPENDWA....
Sunday, April 1, 2012
MA BEST FRIEND (YOUNG ENTREPRENEUR) PIA NI CEO WA LET GOD BE YOU FOUNDATION
BOOK HIZO ALIZOSHIKA KWA AJILI YA MAENDELEO YA
FOUNDATION YAKE BINAFSI INAYOITWA LGBY
MR. DAVID EDWARD MWANDELE
MUDA WOTE HUWA BIZE SANA KWA AJILI YA KUJIFUNZA
PRODUCT ZAKE PIA
MSAADA MKUBWA KWA WANAFUNZI HAWA AMBAO HAWANA UWEZO NA HUYU JAMAA PAMOJA NATIMU YA FOUNDATION YAKE KWA UJUMLA
CONGLATURATION BROTHER AND GOD BE WITH YOU
FOUNDATION YAKE BINAFSI INAYOITWA LGBY
MR. DAVID EDWARD MWANDELE
MUDA WOTE HUWA BIZE SANA KWA AJILI YA KUJIFUNZA
PRODUCT ZAKE PIA
MSAADA MKUBWA KWA WANAFUNZI HAWA AMBAO HAWANA UWEZO NA HUYU JAMAA PAMOJA NATIMU YA FOUNDATION YAKE KWA UJUMLA
CONGLATURATION BROTHER AND GOD BE WITH YOU
Millen Magese during MMG Model search (www.missiepopular.blogspot.com)
Hii ilikuwa ni siku ya jumapili ambapo watu wengi walijitokeza katika kujaribu bahati yao ya uanamitindo pale SERENA HOTEL ambapo Millen Magese alikuwa akitafuta damu changa kwa ajili ya kuelekea south africa kwenye maonyesho ya mavazi... ila waliotakiwa walikuwa wawili ila hata yeye alishangazwa na muitikio wa watu kuwa mkubwa sana hadi kufikia takribani watu mia sita..... NAAMINI MUNGU ALIMUONGOZA KUPATA VIJANA WALIO BORA NA SAHIHI KATIKA KUTUWAKILISHA... GOD BLESS YOU HAPPINESS MAGESE
Subscribe to:
Posts (Atom)